Wednesday, November 22, 2006

ELIMU HII INATOSHELEZA KWELI?

Salamu wanablogu!

Natumaini wote mmeamka na afya nzuri na nguvu ya kuweza kujenga taifa letu ili.
Leo hii nimekuja na haka katatizo kanachonitaziza!

Ni matarajio makubwa sana kwa kijana anayeingia chuo kikuu na kuchagua kusoma shahada (degree) ya ICT iwe labda ya Computer Science or information technology management, kuwa akifika uko chuoni atafundishwa vitu ambavyo ni vya kisasa vinavyoenda na dunia ya leo!

ila matarajio haya kweli sio yatafanikiwa...?
kwa mfano mwanafunzi anamaliza shule ila akiingia kwenye job industry anakuwa mweupe kabisa, yaani alivyofundishwa havipo applicable, kwa mfano mtu anafundiswa pascal ambayo kwa ulimwengu wa sasa application yake ni zero kabisa na mtu database anaua theory tu?

tutafika kweli?
tuendelee kublog

3 comments:

peter nalitolela said...

MESSAGE TO MICHUZI AND P.S.NALITOLELA!

KAKA MICHUZI NAOMBA KUWAKILISHA. HIVI JAMANI MTU KUWA NA JINA LINAFANANA NA MTU MWINGINE NI KOSA? MIMI NI PETER NALITOLELA NA NIMEONA KUNA MTU MWINGINE ANA JINA LA PETER NALITOLELA, LAKINI KUNA TOFAUTI YEYE ANAITWA PETER S NALITOLELA MIMI SINA HIYO S KATIKATI, NINA MAJINA MAWILI TU, ISITOSHE YEYE YUPO CANADA MIMI NIPO UWANJA WA FISI HAPA TANZANIA, YEYE ANA SIGN IN MIMI NAWEKA JINA TU. SASA KAKA MICHUZI HILI NI KOSA KWELI? MIMI NIKIWEKA COMMENT NAAMBIWA NAMCHAFULIA PETER WA CANADA SIJUI YEYE HAANDIKI COMENTS KAMA ZANGU SIJUI? HII NI KWELI HATA MIMI SIANDIKI COMMENTS KAMA ZAKE JE NA YEYE ANANIHALIBIA? HIVI HAPA BONGO KUNA WATU WANGAPI WANAITWA SALIM AHMED SALIM? SASA KAMA WAKISEMA KITU DR. SALIM AWAMBIE ETI WANAMCHAFULIA JINA LAKE? NAOMBA UNISAIDIE KUMJULISHA HUYU PETER KWAMBA HII NI BONGO SIYO MALAWI WALA ZAIRE KUNA MAJINA KIBAO YA WATU YANAFANANA KUNA MCHEZAJI WA SOKA HAPA ANAITWA ABUBAKAR SALUM LAKINI SI YULE ABUBAKAR SALUM ALIYE CHEZEA YANGA ENZI ZILE TUKO WADOGO SO PETER S. OF CANADA LET ME TELL YOU THIS, WE HAVE SO MANY NALITOLELA IN THIS COUNTRY SO DO NOT PANIC IF YOU DON`T WANT THIS NAME AND THINK SOMEHOW WE INSULT YOU WHEN WE POST COMMENTS THEN FIND ANOTHER NAME LIKE BILL O`REILY OR MICHAEL JACKSON BUT I DOUBTS IF YOU WILL ALWAYS BE YOURSELF BECAUSE THERE ARE SO JACKSONS AND BILLS!SO MY FRIEND I WANT YOU TO KNOW YOU HAVE BEEN NAIVE ANYTIME I POST MY COMMENTS IN THIS BLOG, FIRST YOU DONT ACCEPT MY SACCESS THAT I FINISHED HIGHER EDUCATION HERE IN MY COUNTRY AT MUZUMBE UNIVERSITY.I KNOW YOU PROBABLY HAVE MORE EDUCANTION THAN I DO BUT MY FRIEND YOU WON`T TAKE MY PROUD AS TANZANIAN AND AS A SON OF NALITOLELA, AND I WONT CHANGE MY NAME IN THIS BLOG TO PLEASE YOUR IDEOLOGY, THANKS NO THANKS MR. PETER S NALITOLELA. THERE ARE AHUNDREDS OF BLOGS SO ARE YOU GOING TO STOP ALL NALITOLELA IN THOSE BLOGS? PLEASE..!? MICHUZI I HOPE YOU WILL UNDERSTAND WHAT I MEAN, THIS IS A FREE WORLD OF FREE PRESS IF YOU DISAGREE WITH MY COMMENTS THEN CRITISIZE MY COMMENTS BUT NEVER TELL THE WORLD THAT IM INSULTING YOU BECAUSE WE SHARE THE SAME NAME? WHAT IF YOUR DAD IS MY DAD? WHAT IF MY DAD CHEATED AND BAPTIZED ME AND YOU PETER? I WELCOME YOUR CHALLENGE BUT NEVER CHALLENGE MY NAME KILA MTU AWEKE COMMENTS ZAKE BWANA, THOSE WHO KNOW YOU WILL DIFFERANTIATE YOUR COMMENTS FROM MINE, YOURS ARE MORE ADVANCED AND MINE ARE STANDARD SEVEN BUT I TELL YOU WHAT THERE ARE SO MANY STANDARD SEVEN TOO IN THIS BLOG WHO WILL LOVE TO READ MY COMMENTS SO STAY AWAY MY BROTHER LET ME POST MY COMMENTS FREELY. LAST BUT LEAST THANK YOU MICHUZI AND THOSE STANDARD SEVEN WHO READ MY COMMENTS. AND FOR THOSE WHO ARE SURPOTERS OF P.S. NALITOLELA WE THANK YOU TOO. IT IS ME PETER NALITOLELA AGAIN EX MUZUMBE AND ST. ANTONY MBAGALA, THE SMART KID!

Anonymous said...

kaka tatizo ni kwamba sylabus zetu haziendani na wakati kabisa, inataikiwa ziwe zinabadilika kufuatana na jinsi technology inavyokua, kwakweli tunahitaji mabaliko. kwa upande mwingine hakuna mafunzo ya vitendo kabisa, na kwa asili ya masomo ya ICT, practicals ni muhimu sana. hii inapelekea watu kukariri tuu na sio kuelewa, mwisho wa siku unakuta utaalamu wetu umedumaa. nawakilisha kutoka lushoto www.lushotokwetu.blogspot.com

Anonymous said...

Nyie wote maduke, nan kakwambieni pascal haitumiki??
Kwani Delphi ni nn???? c ndo Pascal!!!!
Sasa hukawii kusema hata Fortran haina matumizi kabisaa)) Endelea na hyo C/C++ kama vp